News And Announcements

TANGAZO- FIRST COURSE AWAMU YA KWANZA 2014/2015

COURSE HII ITAANZA TAREHE 10 HADI 15 NOVEMBA 2014.MAJINA YA WASHIRIKI NA TAREHE ZA KUHUDHURIA HII COURSE ZIMEAMBATANISHWA, DOWNLOAD FORM. ANGALIZO: WALE WANAOISHIA NTA LEVEL 5 WANASHAURIWA KUHUDHURIA KWANI HII COURSE NI MUHIMU SANA KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI WA KILA SIKU. HAKUNA MALIPO YATAKAYOTOZWA KWA WASHIRIKI, CHUO KITATOA MALAZI NA CHAKULA BILA MALIPO KWA WASHIRIKI WOTE.


  FIRST COURSE.pdf.doc   Download  View


copyright © 2012 scotc.ac.tz. All Rights Reserved.  Designed by 2011 Udom Graduates